EN SW
🛡️

Weka Watermark / Logo Mtandaoni

Linda picha zako za kupost Whatsapp, Instagram, Facebook, Tiktok, Jamii forums(JF), Reddit na Threads dhidi ya wizi mtandaoni kwa kuweka logo ya picha au maneno maalumu yenye uwezo wa kubadilisha ukubwa, nafasi na uwazi.

Mwongozo wa Kitaalamu: Kulinda Picha Zako Mtandaoni

Kuongeza watermark au logo kwenye picha kunalinda haki miliki yako dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa. GridPhoto inakupa uhuru wa kuchagua logo ya picha au kuandika jina lako (text signature) kwa ukubwa na uwazi unaotaka.

Usalama na Faragha ni 100%: Picha zako zinachakatwa kwa usalama mkubwa. Mfumo unasimamiwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

❓ Je, ninaweza kuandika maneno badala ya kuweka logo ya picha? Ndio! Unaweza kuchagua sehemu ya "Maneno Maalum", ukaandika jina lako au brand yako, ukachagua rangi na kubadilisha ukubwa wake papo hapo.
❓ Ninawezaje kupunguza au kuongeza ukubwa wa watermark? Tumia kitufe cha kutelezesha cha "Ukubwa wa Watermark" kuongeza au kupunguza ukubwa kuanzia 5% hadi 50% ya picha yako.
❓ Je, huduma hii ni ya bure? Ndio, ni bure 100% bila malipo ya siri wala usajili wa aina yoyote.