Linda picha zako za kupost Whatsapp, Instagram, Facebook, Tiktok, Jamii forums(JF), Reddit na Threads dhidi ya wizi mtandaoni kwa kuweka logo ya picha au maneno maalumu yenye uwezo wa kubadilisha ukubwa, nafasi na uwazi.
Kuongeza watermark au logo kwenye picha kunalinda haki miliki yako dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa. GridPhoto inakupa uhuru wa kuchagua logo ya picha au kuandika jina lako (text signature) kwa ukubwa na uwazi unaotaka.