Rekebisha vipimo vya picha zako kwa Upana (Width) na Urefu (Height) kwa Pixels au asilimia kwa sekunde chache moja kwa moja kwenye kifaa chako.
Inasapoti PNG, JPG, WEBP, GIF (100% Salama na Ya Haraka)
Zana hii inatumia Dual High-Performance Resizing Engine: Mfumo wa HTML5 Canvas unaojichakata hapo hapo kwenye simu yako bila kutumia bando (Client-Side), ukishirikiana na PHP GD Graphics Engine ya nyuma kuhakikisha picha haipotezi sharp pixels wala ubora.
Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally