Toa na ugeuze kurasa zote za hati yako ya PDF kuwa picha za JPG za ubora wa juu papo hapo kupitia kivinjari chako. Ni salama, faragha, na bure 100%.
Kurasa Zilizotolewa kutoka PDF:
0
Mwongozo wa Kitaalamu: Jinsi ya Kutoa Picha Salama kutoka Hati za PDF
Kugeuza kurasa za PDF kuwa faili za picha (JPG au PNG) mara nyingi huhitajika unapotakiwa kuwasilisha ukurasa maalum wa cheti kwenye mifumo ya mtandaoni kama vile Ajira Portal (Utumishi), kuwasilisha vielelezo NIDA, au matumizi mengine ya kiofisi. GridPhoto inatumia teknolojia ya kisasa ya Mozilla PDF.js kuchakata kila kitu ndani ya kifaa chako bila kuzituma kwenye server za nje.
Usalama na Faragha ni 100%:
Nyaraka zako haziondoki kwenye kifaa chako. Kazi yote inafanyika ndani ya kivinjari chako. Mfumo unasimamiwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
❓ Ninawezaje kugeuza kurasa zote za PDF kuwa picha za JPG?
Chagua tu faili lako la PDF kupitia kitufe cha hapo juu. Mfumo utazisoma kurasa zote moja kwa moja na kuziandaa kwenye kadi za picha ili uweze kuzipakua kwa urahisi.
❓ Je, nyaraka zangu za siri za PDF zinatumwa kwenye mtandao?
Hapana! Kila kitu kinafanyika ndani ya kivinjari chako (browser) kwa usiri kamili kupitia HTML5 Canvas na JavaScript.
❓ Je, huduma hii ni ya bure?
Ndio, ni bure 100% bila malipo ya siri wala usajili wa aina yoyote.