Uhariri wa Sauti na Zana za Studio
Zana za AI, Maandishi na Sauti
Kubadili Miundo & Kupunguza Ukubwa
Kwa Nini GridAudio Ni Chaguo la Kwanza Afrika Mashariki na Duniani?
GridAudio Suite imebuniwa kutatua changamoto za audio za kila siku. Iwe unataka kubadilisha voice note ya WhatsApp (.opus) kuwa MP3, kutoa kelele za nyuma kwenye sauti ya kikao, au kuchukua maandishi kutoka kwenye audio, zana zetu zinafanya kazi moja kwa moja kwenye simu au kompyuta yako.
Usalama na Faragha ya 100%
Audio zako hazipakiwi wala kuhifadhiwa kwenye server yoyote. Kila kitu kinasindikwa ndani ya kivinjari chako pekee.
Rafiki wa WhatsApp na Simu
Badilisha voice notes za WhatsApp kuwa MP3 haraka na kupunguza MB za sauti tayari kwa kutuma kwenye mtandao.
AI ya Kasi ya Studio
Tenganisha sauti na ala za muziki, safisha mihemko ya kelele, na toa srt au maandishi bila kulipia programu nzito.
Kizumari Technologies
Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies
Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)
Zana mpya za audio zinaongezwa kila wiki na Kizumari Technologies. Endelea kutumia!