Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua
Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, OGG na Sauti za WhatsApp (.opus)
Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Audio Repair
Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta suluhisho la kisasa la kurejesha ubora wa sauti kwa wananchi wa Afrika.
1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)
Tofauti na mifumo ya mtandaoni inayokulazimu kupakia mafaili yako nyeti kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kifaa chako chenyewe (client-side processing).
2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)
Tunaelewa gharama za bando hapa nchini. Mfumo wetu unarekebisha audio yako ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada.
3. Urekebishaji Mahiri wa Mawimbi (Waveform Reconstruction)
Teknolojia yetu inasawazisha na kupunguza ukali wa vilele vya sauti vilivyopasuka ili kufanya usikivu uwe mzuri na usiochosha masikio.