Badilisha Sauti Yako Kuwa Maandishi Hapaa (Live Voice Dictation)

Imba, ongea, au toa hotuba yako moja kwa moja kupitia microphone na uruhusu mfumo uandike maandishi kwa wakati halisi.

Bonyeza "Anza Kuongea" kisha anza kuzungumza kwa ufasaha kwenye microphone yako.

Kihariri cha Maandishi Yaliyoandikwa

Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Suite

Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta suluhisho la kusindika multimedia kupitia kivinjari chako kwa ajili ya waundaji wa maudhui Afrika na duniani kote.

1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)

Tofauti na mifumo ya mtandaoni inayokulazimu kutuma sauti kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kumbukumbu ya kivinjari chako pekee.

2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)

Tunaelewa gharama za bando. Mfumo wetu unakuruhusu kuandaa maandishi ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada.

3. Mfumo Rahisi wa Kusafirisha Maandishi

Teknolojia yetu inapanga maneno unayoyatamka kuwa aya nadhifu zinazofaa kwa ajili ya ripoti, makala, au kumbukumbu.

Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Ndiyo! GridAudio Suite ni bure kwa asilimia mia moja bila malipo yaliyofichwa wala vizuizi vyovyote.

Kabisa hazipelekwi popote. Kila kitu kinafanyika ndani ya kumbukumbu ya browser yako.

Google Chrome, Microsoft Edge, na Safari zinatoa msaada mzuri zaidi wa utambuzi wa sauti.

Ndiyo! Unaweza kuhariri, kuongeza, au kupangua maneno kwenye kihariri kabla ya kupakua kama faili la .txt.

Vivinjari wakati mwingine hutumia intaneti kidogo kusoma mawimbi ya sauti, lakini mfumo unafanya kazi kwa wepesi mkubwa.