Lang: SW | EN

📸 Instant Website Screenshot

Weka URL kupata screenshot ya moja kwa moja.

Inaload picha, tafadhali subiri...

✅ Screenshot Imepatikana!
Website Screenshot
💾 Pakua Picha (HD)
⚠️ Imeshindikana kuisoma tovuti hii. Hakikisha umeiandika vizuri mfano: https://wikipedia.org

Kwa Nini Website Screenshot Studio Hii ni Ya Kipekee?

Zana hii inatumia Cloud Rendering Headless Browser API inayotafsiri HTML, CSS, na JavaScript za tovuti yoyote kama inavyoonekana kwenye kivinjari halisi. Inakupa picha safi yenye muonekano sahihi wa Desktop au Simu bila wewe kufungua tovuti hiyo.

🔒 Usalama na Faragha 100% Utafutaji wako na anwani unazoweka hazihifadhiwi kwenye server yoyote. Kila kitu kinapigwa picha mtandaoni na kuingia moja kwa moja kwenye simu/kompyuta yako.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies \vert{} Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Je, ninaweza kupiga screenshot ya tovuti yoyote? Ndio! Tovuti yoyote iliyopo hewani (public website) inaweza kupigwa screenshot kwa kuandika tu anwani yake.
❓ Kuna tofauti gani kati ya Desktop View na Mobile View? Desktop View inapiga picha tovuti kama inavyoonekana kwenye kompyuta (1280px), wakati Mobile View inapiga picha kama inavyoonekana kwenye simu ya mkononi (375px).
❓ Je, huduma hii ni bure? Ndio, ni 100% bure bila gharama zozote wala mipaka ya matumizi.