EN SW
GRIDPDF

Word to PDF Converter

Zana hii inachukua maandishi kutoka kwenye Word na kuyatengenezea file jipya la PDF. Ni njia salama zaidi kwa ajili ya kutuma nyaraka rasmi.

RUDI NYUMBANI

🔒 100% Salama: Faili zako zinasimbwa kwa SSL na kufutwa kiotomatiki kwenye mfumo ndani ya saa 1.

Jinsi ya Kugeuza Word Kuwa PDF Mtandaoni

  1. Bofya kisanduku hapo juu kuchagua file lako la Word (.docx).
  2. Bonyeza kitufe cha "GEUZA KUWA PDF SASA".
  3. Pakua (Download) PDF yako mpya huku mpangilio wa maandishi ukiwa salama.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Je, muonekano wa document yangu utaharibika?

Hapana. Zana yetu inahakikisha mpangilio wa maneno, picha, na font zinabaki vile vile kama zilivyo kwenye Microsoft Word.

Je, ni salama kupakia CV na mikataba yangu hapa?

Ndiyo, usalama wako ni kipaumbele chetu. Mafile yako hayahifadhiwi; yanafutwa moja kwa moja kwenye server zetu mara tu unapomaliza kudownload.