EN SW
GRIDPDF

PowerPoint to PDF Converter

Zana hii inachukua kila slide kutoka kwenye PowerPoint yako na kuifanya kuwa ukurasa mmoja wa PDF. Ni nzuri kwa ajili ya kugawa handouts za presentation yako.

RUDI NYUMBANI

🔒 100% Salama: Faili zako zinasimbwa kwa SSL na kufutwa kiotomatiki kwenye mfumo ndani ya saa 1.

Jinsi ya Kugeuza PowerPoint Kuwa PDF Mtandaoni

  1. Bofya eneo la kupakia uchague file lako la PowerPoint (.ppt au .pptx).
  2. Bonyeza kitufe cha "GEUZA KUWA PDF SASA".
  3. Pakua (Download) fayilo yako mpya ya PDF ya presentation mara moja.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Je, muonekano wa slides zangu utabadilika?

Hapana. Mfumo wetu unachukua slides zako na kuzipanga vizuri kwenye kurasa za PDF ili kuifanya iwe rahisi kusomeka na ku-print.

Je, naweza kutumia mafile ya .ppt at .pptx?

Ndiyo! GridPDF inakubali aina zote mbili za mafile ya PowerPoint (.ppt na .pptx).