Lang: SW | EN
📏

Image Resizer & Dimension Adjuster Pro

Rekebisha vipimo vya picha zako kwa Upana (Width) na Urefu (Height) kwa Pixels au asilimia kwa sekunde chache moja kwa moja kwenye kifaa chako.

Bofya hapa au Pakia picha hapa

Inasapoti PNG, JPG, WEBP, GIF (100% Salama na Ya Haraka)

Preview
Vipimo vya sasa: 0 x 0 px

Kwa Nini Resizer Hii ni Ya Haraka na Bora Zaidi?

Zana hii inatumia Dual High-Performance Resizing Engine: Mfumo wa HTML5 Canvas unaojichakata hapo hapo kwenye simu yako bila kutumia bando (Client-Side), ukishirikiana na PHP GD Graphics Engine ya nyuma kuhakikisha picha haipotezi sharp pixels wala ubora.

🔒 Faragha 100% (Client-Side Processing) Mchakato mkuu unafanyika ndani ya kivinjari chako bila kutuma picha kwenye server yoyote mtandaoni.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Je, kubadilisha vipimo kutapunguza ubora wa picha? Hapana! Injini yetu inatumia Lanczos/Bicubic resampling interpolation kuzuia picha kuwa na ukungu (blur).
❓ Inamaanisha nini kukiwa na 'Maintain Aspect Ratio'? Inamaanisha pindi unapobadilisha Upana (Width), Urefu (Height) unajirekebisha kiatomati ili picha isipinde wala kukunjwa vibaya.
❓ Je, kuna gharama yoyote au alama ya maji (watermark)? Hapana, zana hii ni 100% bure kabisa bila mipaka wala watermark.