Lang: SW | EN
✂️

Smart AI Image Cropper & Aspect Ratio Tool

Kata na kurekebisha uwiano wa picha zako kwa ajili ya Profile, Instagram, Passport, au Bango la Mtandao kwa usahihi wa hali ya juu bila kupoteza ubora.

Bofya hapa au buruza picha yako hapa

Inasapoti PNG, JPG, au WEBP (Mchakato wa Haraka na 100% Salama)

Image to Crop

Kwa Nini Smart Image Cropper Hii ni Ya Kipekee?

Zana hii inatumia GPU-Accelerated Canvas Engine pamoja na Cropper.js Precision Framework inayowezesha kukata picha kwa viwango sahihi vya pikseli (pixel-perfect precision). Inakupa udhibiti kamili bila kutuma picha yako kwenye server za nje.

🔒 Faragha 100% (Client-Side Processing) Picha yako haipakiwi mtandaoni wala kuhifadhiwa kwenye server yoyote. Kila kitu kinajichakata ndani ya browser yako.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Je, kukata picha hapa kutapunguza ubora wa picha? Hapana! Injini yetu inatumia High-Quality Smooth Interpolation kubakiza rangi na makali yote ya pikseli bila kuifanya picha kuwa blurry.
❓ Uwiano wa Passport (3:4) unafaa kwa matumizi gani? Unafaa kwa ajili ya picha za Vitambulisho, Vyeti, Visa, au Form za maombi ya kazi na shule.
❓ Je, ninaweza kurejesha picha kama nimekosea kukata? Ndio! Bofya kitufe cha 'Rudisha Upya' kurejesha picha katika umbo lake la awali wakati wowote.