Pakia picha hapa kisha bonyeza popote pale kuchukua namba za rangi za HEX, RGB au HSL chap chap bila stress!
PNG, JPG, WEBP, GIF (100% Salama kwenye Browser yako)
Wakati wa kupika tovuti, mabango ya matangazo, au kuandaa kazi za graphics, kupata namba sahihi za rangi (HEX au RGB) kutoka kwenye picha pendwa ni kitu cha muhimu mno. Zana yetu inakupa uwezo wa kuchagua rangi moja kwa moja kutoka kwenye picha yako kupitia browser bila kupoteza muda wala kusafirisha data zako kwenda kwenye seva za nje.
Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally