Lang: SW | EN
🌫️

Image Blur & Censorship Tool

Fifisha picha nzima au tumia Brashi ya usahihi kuficha sehemu za siri kama nyuso, namba za simu, au nyaraka bila kupunguza ubora wa picha.

Bofya au buruza picha hapa

Inasapoti PNG, JPG, au WEBP (100\% Salama na Ya Haraka)

Kwa Nini Zana Hii ni Salama na Yenye Usahihi Mkubwa?

Zana hii inatumia mfumo wa HTML5 Canvas Processing ambao unakuruhusu kufifisha au kutia ukungu kwenye picha kwa kutumia kivinjari chako moja kwa moja. Mfumo wetu wa Selective Brush unakupa uwezo wa kuweka ukungu kwenye maeneo mahsusi pekee kama nyuso za watu au nyaraka za siri huku ukilinda ubora wa sehemu nyingine za picha.

🔒 Faragha 100\% (Client-Side Processing) Picha yako haitoki kwenye simu au kompyuta yako. Hakuna picha inayopakiwa au kuhifadhiwa kwenye server yoyote mtandaoni.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies \vert{} Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Je, picha yangu inahifadhiwa kwenye server? Hapana kabisa. Mchakato wote unajifanya papo hapo ndani ya kivinjari chako (Client-Side) bila kuhitaji bando au kupakia picha mtandaoni.
❓ Je, naweza kufifisha nyuso za watu pekee? Ndio! Chagua kitufe cha "Paka Sehemu Tu (Selective Brush)" kisha paka brashi kwenye uso au sehemu unayotaka kuificha.
❓ Je, inalinda ubora wa picha yangu halisi? Ndio. Picha inahifadhi vipimo vyake vya asili (Original Resolution) wakati wa kupakua.