EN SW
GRIDPDF

Excel to PDF Converter

Zana hii inasoma data zako na kuzipanga kwenye jedwali safi la PDF. Inafaa sana kwa ajili ya ripoti za mauzo, fedha, na orodha za majina.

RUDI NYUMBANI

🔒 100% Salama: Faili zako zinasimbwa kwa SSL na kufutwa kiotomatiki kwenye mfumo ndani ya saa 1.

Jinsi ya Kugeuza Excel Kuwa PDF Mtandaoni

  1. Bofya kisanduku hapo juu kuchagua file lako la Excel (.xlsx, .xls) au CSV (.csv).
  2. Bonyeza kitufe cha "GEUZA KUWA PDF SASA".
  3. Pakua (Download) PDF yako yenye majedwali yaliyopangwa vizuri.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Je, majedwali na data zangu zitakaa vizuri kwenye PDF?

Ndiyo. Mfumo wetu unasoma safu na nguzo (columns & rows) za Excel na kuzipanga kwenye jedwali safi la PDF linalofaa kwa kuprint au kutuma.

Je, ni salama kupakia ripoti zangu za fedha hapa?

Ndiyo, usalama wa data zako ni kipaumbele chetu. Mafile hayahifadhiwi na yanafutwa mara moja baada ya kumaliza kubadilishwa.