Compress PDF hadi 1MB Ajira Portal Tanzania
🔒 100% Salama: Faili zako zinasimbwa kwa njia fiche ya SSL na kufutwa kiotomatiki kwenye mfumo ndani ya saa 1.
Pakia vyeti au nyaraka zako kwenye GridPDF kisha bofya "FINYA PDF SASA". Mfumo utapunguza ukubwa kutoka MB kwenda KB bila kuharibu usomaji wa vyeti vyako.
Ndiyo, ni salama 100%. Mfumo unalinda data zako kwa usalama wa SSL na unafuta mafile yote kiotomatiki kwenye server zetu mara tu unapokamilisha kudownload.