Kiondoa Sehemu za Ukimya kwenye Audio (Silence Remover)

Kata na uondoe mapengo ya ukimya na sehemu zisizo na sauti kwenye podikasti au rekodi zako moja kwa moja ndani ya simu au kompyuta yako.

Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua

Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, OGG na Sauti za WhatsApp (.opus)

song.mp3

Rudi Kwenye GridAudio Suite

Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Silence Remover

Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta suluhisho la kisasa la kurahisisha kazi kwa watengenezaji wa maudhui Afrika.

1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)

Tofauti na mifumo inayokulazimu kupakia rekodi zako kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kifaa chako chenyewe (client-side processing).

2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)

Tunaelewa gharama za bando hapa nchini. Mfumo wetu unaondoa mapengo ya kimya ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada.

3. Uchunguzi Mahiri wa Viwango vya Sauti (Amplitude Scanning)

Teknolojia yetu inachunguza mawimbi ya audio na kuondoa mapengo ya ukimya huku ikihifadhi mtiririko wa asili wa maongezi yako.

Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Ndiyo! GridAudio Suite ni bure kwa asilimia mia moja bila malipo yaliyofichwa wala vizuizi vyovyote.

Kabisa hazipelekwi popote. Kila kitu kinafanyika ndani ya kumbukumbu ya browser yako pekee.

Inasaidia kuondoa sehemu ndefu za ukimya (dead air) wakati mtu anapokuwa anasubiri au haongeui, kufanya audio iwe fupi na yenye kuvutia.

Tunapokea MP3, WAV, AAC, M4A, FLAC, OGG, na sauti za WhatsApp (.opus).

Mara tu ukurasa unapofunguka, unaweza kuondoa ukimya kwenye sauti zako hata kama intaneti imekatika.