Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua
Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, OGG na Sauti za WhatsApp (.opus)
Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Noise Remover
Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta mapinduzi makubwa kwenye uchakataji wa sauti safi kwa ajili ya wananchi wa Afrika.
1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)
Tofauti na mifumo ya mtandaoni inayokulazimu kupakia rekodi zako kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kifaa chako chenyewe (client-side processing).
2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)
Tunaelewa gharama za bando hapa nchini. Mfumo wetu unasafisha audio yako ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada.
3. Uchujaji wa Masafa Mengi (Multi-Stage Filtering)
Teknolojia yetu inatumia vichujio maalum vya WebAudio kuondoa miungurumo ya chini na mihemo ya juu ili kutoa sauti ya maongezi iliyo wazi na safi.