Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua
Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, OGG na Sauti za WhatsApp (.opus)
Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Metadata Editor
Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Suleiman Nassoro Ally, GridAudio Suite inaleta mapinduzi makubwa kwenye uchakataji wa sauti mtandaoni kwa ajili ya watengenezaji wa maudhui na wananchi wa Afrika.
1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)
Tofauti na mifumo mingine inayokulazimu kupakia (upload) audio zako kwenda kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu ndani ya kifaa chako kupitia kivinjari chako (client-side processing).
2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)
Tunaelewa gharama za bando hapa nchini. Mfumo wetu unabadili taarifa za audio yako ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada za intaneti.
3. Mabadiliko ya Haraka (Instant Tag Modification)
Teknolojia yetu inakuwezesha kupangilia maktaba yako ya muziki na sauti ziwe na muonekano wa kitaalamu kwenye kifaa chochote.