Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua
Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, OGG na Sauti za WhatsApp (.opus)
Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Echo Remover
Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta suluhisho la kisasa la kusafisha sauti kwa wananchi wa Afrika.
1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)
Tofauti na mifumo inayokulazimu kupakia rekodi zako kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kifaa chako chenyewe (client-side processing).
2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)
Tunaelewa gharama za bando hapa nchini. Mfumo wetu unaondoa echo ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada.
3. Udhibiti wa Mawimbi ya Sauti (Transient Shaping)
Teknolojia yetu inabana na kupunguza sauti zinazojirudia rudia kwenye chumba ili kufanya sauti ya maongezi isikike wazi na kwa ufasaha.