Kigeuza Format Zote ya Audio (Universal Converter)

Geuza miziki na rekodi na Audio zako kati ya Format karibu zote za audio kwa ubora wa hali ya juu wa studio ndani ya simu au kompyuta yako.

Weka faili lolote la audio hapa au bofya kuchagua

Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, FLAC, OGG, OPUS, WMA na Sauti za WhatsApp

audio.mp3

Rudi Kwenye GridAudio Suite

Misingi ya Kiufundi ya Kigeuza Sauti cha Kiwango cha Studio

Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unatumia teknolojia ya kisasa ya uchakataji wa sauti ndani ya browser bila kupoteza ubora.

1. Ubora Usiopungua (High Fidelity Resampling)

Inasaidia kutoa sauti yenye kasi ya hadi 48kHz sample rate na viwango vya juu vya ubora ili kuhakikisha usikivu unakuwa safi na wa kitaalamu.

2. Format Zote Ndani ya Ukurasa Mmoja

Imejengwa kupokea na kugeuza format zote kubwa za audio ikiwemo MP3, WAV, AAC, FLAC, OGG, M4A, na OPUS kwa urahisi.

3. Faragha Kamili ya 100% (Zero-Server Architecture)

Kazi zote za kugeuza mafaili zinafanyika ndani ya kifaa chako pekee, zikihakikisha usalama na faragha ya mafaili yako nyeti.

Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Ndiyo! GridAudio Suite ni bure kwa asilimia mia moja bila malipo yaliyofichwa wala vizuizi vya idadi ya mafaili.

Kabisa hazipelekwi popote. Kila kitu kinafanyika ndani ya kumbukumbu ya browser yako pekee.

Unaweza kuweka faili la aina yoyote (MP3, WAV, AAC, FLAC, OGG, M4A, Opus) na kuligeuza kwenda MP3, WAV, AAC, FLAC, OGG, M4A, au Opus.

Mara tu ukurasa unapofunguka, unaweza kugeuza mafaili yako hata kama intaneti imekatika kabisa.