Lang: SW | EN
⚡

Animated GIF Maker Pro

Badilisha picha zako kuwa GIF inayocheza kwa spidi ya ajabu moja kwa moja kwenye kivinjari chako bila kuhitaji kujiandikisha au kulipia.

Bofya au Pakia picha hapa (Frames 2 au zaidi)

Inasapoti PNG, JPG, au WEBP (100% Salama na Ya Haraka)

🎉 GIF Yako Ipo Tayari:
📥 Pakua GIF Yako (HD)

Kwa Nini Zana Hii ni Ya Haraka na Salama?

Zana hii inatumia maktaba nyepesi ya Gifshot inayojichakata moja kwa moja ndani ya kivinjari chako (Browser-Based Client-Side Engine). Mfumo wetu unahakikisha picha zako zinatengeneza animation yenye mjongeo laini na uwiano sahihi bila kulazimika kupakia picha zako kwenye server za nje.

🔒 Faragha 100% (Client-Side Processing) Hakuna picha inayopakiwa au kuhifadhiwa mtandaoni. Mchakato wote unafanyika papo hapo kwenye simu au kompyuta yako.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies \vert{} Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Inachukua muda gani kutengeneza GIF? Mchakato unachukua sekunde chache tu! Baada ya kuchagua picha na kubonyeza kitufe cha Tengeneza GIF sasa, GIF yako inatengenezwa papo hapo.
❓ Je, GIF inayotengenezwa inakuwa na watermark? Hapana kabisa! GIFs zote ni safi 100% bila alama yoyote ya maji au chapa.
❓ Je, kuna kikomo cha idadi ya picha ninazoweza kutumia? Unaweza kutumia picha 2 au zaidi bila kikomo chochote cha matumizi.