Ng'arisha picha zilizokolea giza au punguza mwanga uliokithiri na kurekebisha utofauti wa rangi (Contrast) kwa haraka moja kwa moja kwenye kifaa chako.
Kwa Nini Zana Hii Inatoa Picha Safi Bila Kuharibu Ubora?
Zana hii inatumia mfumo wa HTML5 Canvas Pixel Array Manipulation unaokusahihishia RGB Values za kila pixel kwenye picha bila kuingiza ukungu au kupunguza Resolution. Inakupa uwezo wa kurekebisha Mwanga (Brightness) pamoja na Contrast ili kupata uwiano sahihi wa muonekano kabla ya kupakua.
🔒 Usalama 100% (Client-Side Processing)
Picha yako haipakiwi kwenye server yoyote mtandaoni. Mchakato wote unafanyika papo hapo ndani ya simu au kompyuta yako.
Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally
Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)
❓ Je, picha yangu itapoteza ubora nikiongeza mwanga?
Hapana kabisa. Picha inasindikwa na kupakuliwa katika vipimo vyake halisi vya asili (Original Resolution).
❓ Je, inawezekana kurekebisha Contrast pekee?
Ndio! Unaweza kuacha Brightness ikiwa 0% na ukabadilisha slider ya Contrast pekee kulingana na hitaji lako.
❓ Je, zana hii inahitaji bando la intaneti kufanya kazi?
Hapana. Ukishafungua ukurasa huu, unaweza kurekebisha picha hata kama hauna bando au upo offline.